Monday, 3 February 2014
coming soon....
Uko tayariiiii...... Msanii ambaye yuko chini ya lebel yetu Africa Nyumbani Studios anayeenda kwa jina Slim Guapo Sosa hivi karibuni ataachia nyimbo mpya iitwayo RAFIKI TU, nyimbo hii imepikwa vizuri na mikono mikali ya producer Paul Cruz
kutoka Zambia, ni nyimbo kali sana so nawaomba muisubiri kwa nguvu zote
na soon ikitoka tumpe support Slim ili asonge mbele zaidi na zaidi......
Subscribe to:
Comments (Atom)