Friday, 14 February 2014

 Ahadi mi deni, kama tulivyoahidi kuachia nyimbo siku ya valentine, tunatimiza ahadi yetu kwa kuachia rasmi nyimbo hii leo
 Ndani utasikia flow kali za moja kati wasanii ambao wako chini ya lebo yetu aitwae Slim Guapo SOSA akishirikiana vizuri na Becka Tittle.
 Karibu na enjoy mziki wa Africa download here.

Monday, 10 February 2014

Hii video clip, inaweza kuwa na nguvu kubwa sana kwa mdau yeyote wa mziki ambaye anapenda kuendeleza mziki wetu, tafadhali take your time and sikiliza mahojiano kati ya Salama jabir na P funk majani kama God father wa bongoflava.