Ahadi mi deni, kama tulivyoahidi kuachia nyimbo siku ya valentine, tunatimiza ahadi yetu kwa kuachia rasmi nyimbo hii leo
Ndani utasikia flow kali za moja kati wasanii ambao wako chini ya lebo yetu aitwae Slim Guapo SOSA akishirikiana vizuri na Becka Tittle.
Karibu na enjoy mziki wa Africa download here.

This comment has been removed by the author.
ReplyDeleteNice work bro
ReplyDeletethanks bro..... tutashoot mapema wiki ijayo karibu kushow love....
Delete