Sunday, 16 February 2014

 Tunashukuru sana kwa jinsi ambavyo mmeipokea track mpya ya Slim SOSA, tunashukuru sana maana sisi kama sisi bila support yenu hatuwezi kufika.
 Alhamis tutaanza kushoot video, Jangwani sea breeze ndo itakuwa location so kama wadau tunaomba msogee pande zile ili tushow love... 

 Kwa ambao bado hawajapata hii nyimbo unaweza kudownload hapa
bofya hapa kudownload.

No comments:

Post a Comment