Mh. January makamba na Sugu wameungana na wasanii wakali wa mziki wa bongo flava akiwemo Profesa Jay, joh makini Goz b, Kala pina, Kala Jeremia na wengine wengi kwenye nyimbo moja kuwaamsha wasanii kuweka nguvu zao kwenye mchakato huu wa katiba mpya kuwepo pia na kuangali upya swala la hati miliki. kupata nyimbo hiyo bofya hapa

No comments:
Post a Comment