Wednesday, 11 June 2014
Shabila Ft Baraka da Prince-Moyo wangu
Ile nyimbo tuliyokuwa tukiisubiria kwa hamu sana hii hapa, shabila ft baraka-moyo wangu........ download na kusikiliza na ukipata muda wa kusikia interview zake ni nzuri zaidi maana shabila mwenyewe anasema ana hasira sana na ney wa mitego.... ila kibiashara na harakati pia.
Humu kamshirikisha Baraka da prince ambaye kwa sasa anatamba asana na nyimbo yake iitwayo jichunge..... tafadhali download na usikilize mziki mzuri huu bofya hapa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment